Tafuta

Vatican News
2021.05.24 Ziara ya Papa katika Jumuiya ya kazi ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano 2021.05.24 Ziara ya Papa katika Jumuiya ya kazi ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano   (Vatican Media)

Papa atembelea Jumuiya ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano Vatican

Papa Francisko ametembelea Jumuiya ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano Vatican,Jumatatu tarehe 24 Mei 2021 katika fursa ya maadhimisho ya miaka 160 ya Gazeti la Osservatore Romano na miaka 90 ya Radio Vatican.Zifuatazao ni habari fupi kwa njia ya picha za matukio

Na Sr. Angela Rwezaula - Vatican 

Imekuwa furaha kubwa kwa lisaa limoja kwa Jumuiya ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano kutembelewa na Papa Francisko, Jumatatu tarehe 24 Mei 2021. Ni katika fursa ya maadhimisho ya miaka 160 ya Gazeti la Osservatore Romano na miaka 90 ya Radio Vatican. Katika fursa hiyo Papa amefanya mkutano, amesali sala katika kikanisa kidogo kilichomo ndani ya jengo na amezungumza katika studio. Aidha amezungumza na rais wa Baraza  la kipapa la Mawasiliano, mhariri mkuu, wakurugenzi wa idara na hatimaye wawakilishi wa waandishi wa Radio Vatican katika Ukumbi wa Marconi. Zifuatazo ni habari za picha kwa ufupi:

Akisalimiana na Rais wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano
Akisalimiana na Rais wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano
Waandishi wa gazeti la Osservatore
Waandishi wa gazeti la Osservatore
Akizungumza katika Studio
Akizungumza katika Studio
Akiingia ukumbi wa Marcon
Akiingia ukumbi wa Marcon
Papa akizungumza
Papa akizungumza
Baraka
Baraka
Katika kikanisa kidogo
Katika kikanisa kidogo
Papa akibariki sanamu ndogo ya Mt Yosefu ya P. Mjigwa
Papa akibariki sanamu ndogo ya Mt Yosefu ya P. Mjigwa

 

24 May 2021, 13:31