Baba Mtakatifu anasema, ukaguzi makini wa mapato na matumizi ya Serikali unasaidia kudhibiti kishawishi cha ufisadi wa mali ya umma pamoja na kutumia fedha ya umma kujijenga ...
Padre Joseph Eciru Oliach kutoka Jimbo Katoliki la Soroti, Uganda ameteuliwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Soroti, Hadi kuteuliwa kwake, Askofu mteule alikuwa ni Jaalim na mlezi ...
Kanisa nchini Ghana limefanya warsha hivi karibuni inayohusu kuunganisha mazingira na ajira kwa vijana kama Mradi wa Kanisa kwa usimamizi wa taka za elektroniki.Ni njia moja wapo y ...
Kimbunga kiitwacho Idai kilichoikumba nchi ya Msumbiji,Zimbabwe na Malawi, inasemekana kimeacha madhara makubwa sana,yakiwemo vituo vya afya,shule na makazi ya watu