Tafuta

2023.04.26  Kardinali Blase Joseph Cupich, Askofu Mkuu wa Chicago, Marekani. 2023.04.26 Kardinali Blase Joseph Cupich, Askofu Mkuu wa Chicago, Marekani.  (Vatican Media)

Uteuzi wa mjumbe na mshauri wa Baraza la Kipapa la Utamaduni na Elimu

Jumamosi tarehe 16 Machi 2024,Baba Mtakatifu Francisko amemteua mjumbe wa Baraza la Kipapa la Utamaduni na Elimu, na Blase Joseph Cupich,Askofu Mkuu wa Chicago,Marekani. Na Wakati huo huo amemteua Mshauri wa Baraza hilo Profesa Antonella Sciarrone Alibrandi,Jaji wa Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Italia.
Baba Mtakatifu amemteua Mjumbe na Mshauri wa Baraza la Kipapa la Utamaduni na Elimu
16 March 2024, 17:30