Papa amemteua Balozi wa Vatican huko Oman
Jumatato 22 Mei 2023,Baba Mtakatifu Francisko amemteua Balozi wa Vatican katika Ufalme wa Omani,Askofu Mkuu Nicolas Henry Marie Denis Thevenin,ambaye hadi uteuzi wake alikuwa ni Balozi wa Vatican katika Jamhuri ya Kiarabu ya Misri.
22 May 2023, 16:33