Tafuta

Lazima kupambana  n nyanyaso dhidi ya watoto. Lazima kupambana n nyanyaso dhidi ya watoto. 

Kardinali Seán O’ Malley umakini na ulinzi uwe ni kipaumbele cha watoto

Rais wa Tume ya Kipapa ya Ulinzi wa Watoto ametuma ujumbe wake katika Siku ya Ulaya inayotazama masuala ya kuzuia na kutibu majeraha ya waathirika wa nyanyaso za kijinsia.”Kardinali anawatia moyo Kanisa kutambua mfumo kwa njia ya utafiti,kuwa wazi kujifunza maendeleo ya jamii na ulimwengu wa kielimu.Kwa kufanya hivyo ulinzi wa watoto unaweza kuwa ndiyo kipaumbele.

Na Sr. Angella Rwezaula – Vatican.

Kardinali Seán O’ Malley katika siku ya Ulaya kwa ajili ya Ulinzi wa watoto dhidi ya unyonyaji na nyanyaso za kijinsia kwa Ernesto Caffo, Mwenyekiti wa Simu ya Azzurro, na mjumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya ulinzi wa watoto, kwa niba ya Tume hiyo anatuma salamu na pongezi kwa wageni na washiriki wote ambao wanashiriki kwa njia ya mtandao kwenye afla ya Siku ya Ulaya kwa ajili ya Ulinzi wa watoto dhidi ya unyayasaji wa kijinsia ambapo mwaka tukio hilo linaongozwa na mada “kufanya mzunguko wa imani ya kweli katika usalama kwa ajili ya watoto”. Katika Siku ya Ulaya inatazama hasa masuala ya kuzuia na kutibu majeraha ya waathirika wa nyanyaso za kijinsia. Kardinali O' Malley anawatia moyo Kanisa kutambua mfumo kwa njia ya utafiti, kuwa wazi kujifunza maendeleo ya jamii na ulimwenu wa elimu. Kwa kufanya hivyo ulinzi wa watoto unaweza ndiyo. Kipaumbele. Tangu mwanzo mwa 2015, ulianzishwa na Baraza la Ulaya jukwaa ambalo linaunganisha jamii ya raia na serikali kwa ajili ya kujikita kwa kina na kuweka rasilimali ya lazima na wa kuelewa juu ya mada ya unyonyaji na nyanyaso za kijinsia kwa watoto(CSEA).

Kardinali amebainisha jinsi ambavyo inajulikana kuwa nyanyaso dhidi ya watoto ni matatizi ya kibinadamu ulimwenguni. Shirika la Afya ulimwenguni libanainisha kuwa milini 120 za wasichana na vijana wanawake chini ya miaka 20 wamepata aina fulani ya nyanyaso za kulazimishwa na ambazo ni mwanamke 1 kati ya 5 na mwanaume 1 kati ya 13 wamepata nynyaso kabla ya kufikia mwaka wa 18. Na katika sehemu mbali mbali za ulimwengu, mtoto 1 kati ya wawili amepata nyanyaso, na kwamba kutokana na sababu kuwa na aibu, ya kutelekeza woga wa kusema, karibia asilimia 60% waathiriwa na wahanga wa nyanyaso za kjinsia za utoto hawasemi kamwe kuhusu hilo. Takwimu za hivi karibuni zilizopo zinabinisha jinsi ambavyo tatizo hili limo ndani ya Kanisa katoliki pia. Kwa mfano katika Kanisa la Ufaransa, Tume huru juu ya nyanyaso za kijinsia kaika Kanisa Katoliki  (CIASE)imeakadiri akuwa  kuwa watoto 216.000 wamepata nyanyaso katika kanisa wakati wa miaka kuanzia 1950 hadi 2020. Au nchini Australia asilimia  40% za nyanyaso za kijinsia kwa watoto zilizotathiminiwa na Tume ya Sheria ya uchunguzi na kuhakikisha Kanisa Katolikisi

"Hizi ni takwimu zinazokuacha hoi" anasema Mkuu huyo na kuongeza kusema kuwa" Lakini hatuwezi kuruhusu mwitikio wetu kuficha kusudi lao: kutathmini hatua zilizochukuliwa na Kanisa kukabiliana na janga hili na kutoa mapendekezo yote muhimu ya kubadilisha mfumo ambao umeshindwa kwa kiasi na ubora. “Hatuwezi kukarabati tusiyoyatambua. Hatuwezi kurejesha uaminifu uliovunjika ikiwa hatutafikia kiini cha jambo hilo. Hili linahitaji uchunguzi wa uaminifu, uchunguzi huru, na hatua zilizo sahihi. Kama Kanisa ni lazima tuwe tayari kujifunza kutokana na maendeleo ya asasi za kiraia na wasomi katika suala la mifano ya utafiti wa kisayansi kwa mtazamo sahihi zaidi wa mikakati yetu ya kuzuia na sera za ulinzi, katika uwanja wazo  na mtandaoni. Kwa kujifunza kutoka kwa kila mmoja wetu, tunaweza kuwa Kanisa na jamii inayoweka ulinzi wa mtoto kimataifa kama kipaumbele  hii inahitaji uwekezaji katika kujenga uhusiano wa kuaminiana na usaidizi kati ya taasisi. Baba Mtakatifu na Tume yetu wanaamini kwamba katika hili, wahanga na waathirika wa unyanyasaji wana ufunguo wa kutusaidia kufanya marekebisho”.

Katika barua yake Baba Mtakatifu kwa watu wa Mungu mnamo 2018 Baba Mtakatifu alibainusa kuwa kadiri siku ambazo zimepita tumetambua uchungu wa waathirwa wengu ambao kwa majeraha wanayochukua ndani hayawezi kuondolewa, Tarehe 18 Novemba Kanisa la Italia lilianzisha Siku ya I ya Kitaifa kwa ajili ya kuombea waathirika na wahanga. Siku ambayo ambayo ilipenelwa na Papa pamoja na tume ya ulinzi wa watoto, kwa ajili ya utambuzi wa umm na kuonesha waathiriwa wa nynyasi kutoka wak wakleri wakati huo huo kuhamaisha utambuzi kati ya wote waamini wabatizwa kwa mujibu wa matashi ya Baba Mtakatifu katika barua yake ya watu wa Mungu mnamo 2018.

18 November 2021, 17:33