Tafuta

Hija ya Kitume ya Papa Francisko Nchini Slovakia

Baada ya Ziara ya kitume ya Papa Francisko jijini Budapest Dominika tarehe 12 Septemba 2021,ameondoka kuelekea Slovakia.Mara baada ya kufika Budapest amekutana na Rais na waziri Mkuu;amefanya mkutano na maaskofu katoliki na kufautiwa wa kiekumene wa makanisa na Kiyahudi.Amehitimisha kwa Misa ya kufunga kongamano la 52 la Ekaristi kimataifa.

Na Sr. Angela Rwezaula - Vatican.

Ziara ya 34 ya kitume ya  Papa Francisko huko Budapest imekuwa na vipindi viwili muhimu vya kiekumene. Katika Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Sanaa nzuri huko Hungeria na mchana katika ukumbi wa Ubalozi wa kitume wa Bratislava, nchini Slovakia. Papa amezungumza katika mikutano hiyo ya kiekumene katika nchi mbili zinazoliwakilishwa karibu makanisa yote likiwemo katoliki. Katika video na picha vinaonesha wakati wa safari ya kuelekea Slovakia na baadhi ya picha za matukio hayo.

Video ya pili na picha zinaonesha kuwasili na mapokezi nchini Slovakia.

Papa akiwasili nchini Slovakia
Mapokezi Slovakia na Rais wa nchi
Mapokezi Slovakia na Rais wa nchi
Papa akibariki mkate
Papa akibariki mkate
Papa akipokea maua
Papa akipokea maua
Mapokezi
Mapokezi
Mapokezi Slovakia
Mapokezi Slovakia
12 September 2021, 15:50