Tafuta

Vatican News
Tusali Rosari kila siku Tusali Rosari kila siku 

Madhabahu ulimwenguni yanasali Rosari ili janga liishe

Ungana kila siku moja kwa moja a madhabahu ya Mama Maria kusali Rosari Takatifu ni katika mbio za sala kwa Bikira Maria iliyoombwa na Papa Francisko.

“Kwa kuongozwa na madhabahu yaliyoko umwelinguni katika mwezi Mei, tusali Rosari kwa ajili ya kuomba kuisha janga, na kuanza kwa upya shughuli za kijamii na kazi”. (Papa Francisko, katekesi tarehe 5 Mei 2021.

Sala ya Rosari imehamasishwa na Baraza la kipapa la Unjilishaji Mpya ambayo  inaongozwa na madhabahu 30 katika mabara yote. Ifuatayo ni orodha ya madhabahau, siku na saa ya kusali Rosari kila siku saa 12.00 (CET) vile vile kuna link hapo chini ambayo unaweza kubonyeza ili kufuatilia mbashara:

Jumamosi 01 Mei, saa 12.00:  Kanisa Kuu Vaticana (Mama wa Msaada), Mji wa Vatican - rivedi (tazama tena).

Jumamosi 01 Mei, saa 1.00:  Mama Yesu wa Walsingham, Uingereza - rivedi (tazama tena).

Jumapili 02 maggio saa 12.00: Yesu Mwokozi na Mama Maria (Elele), Nigeria - rivedi (tazama tena).

Jumatatu 03 Mei, saa 12.00: Mama wa Częstochowa, Poland - rivedi ( tazama tena).

Jumanne 04 Mei, saa 12.00: Kanisa Kuu la Hupashanaji  habari Kanisa kuu la   (Nazareth), Israeli - rivedi (tazama tena).

Jumatano 05 Mei, saa 12.00: Bikira Mwenyeheri wa Rosari (Namyang), Korea Kusini- rivedi (tazama tena).

Alhamisi 6 Mei, saa 11.00: Mama Yetu wa Aparecida (Mtakatifu  Paolo), Brazili - rivedi  (tazama tena).

Ijumaa 07 Mei, saa 12.00: Mama Yetu wa Amani na Mama Yetu Maria wa safari njema (Antipolo), Ufilippino - rivedi (tazama tena).

Jumamosi  08  Mei, saa 12.00: Mama yetu wa Lujan, Argentina - rivedi ( tazama tena).

Dominika 09 Mei, saa 12.00: Nyumba Takatifu ya Loteto, Italia - rivedi  (tazama tena).

Jumatatu 10 Mei, saa 12.00: Mama Yetu wa Knock, Ireland -rivedi (tazama tena).

Jumanne 11 Mei, saa 12.00: Bikira wa Maskini (Banneux), Ubergiji - rivedi (tazama tena)

Jumatano 12 Mei, saa 12.00: Mama Yetu wa Afrika (Algeri), Algeria - rivedi  (tazama tena).

Alhamisi 13 Mei, saa 12.00: Bikira Mmwenyeheri wa Rosari (Fatima), Ureno - rivedi ( tazama tena).

Ijumaa 14 Mei , saa 12: Mama Yesu wa Afya njema (Vailankanni), India - rivedi (tazama tena).

Jumamosi 15 Mei , saa 12 00:  Mama Malkia  wa Amani (Medjugorje), Bosnia - rivedi  ( tazama tena).

Dominika 16 Mei, saa 12.00:  Kanisa Kuu la Mtakatifu Maria (Sydney), Australia - rivedi  (tazama tena).

Jumatatu 17 Mei, saa 12.00: Mkingiwa dhambu ya Asili (Washington), USA -  rivedi (tazama tena).

Jumanne 18 Mei, saa 12.00: Mama Yetu wa Lourdes, Ufaransa - rivedi  (tazama tena)

Jumatano 19 Mei , saa 12.00: Meryem Ana (Efeso), Uturchia - rivedi (tazama tena).

Alhamisi  20 Mei, saa 12.00: Mama Yesu wa upendo  wa shaba, Cuba - rivedi (tazama tena).

Ijumaa 21 Mei, saa  12.00: Mama wa Nagasaki, Japan  - rivedi (tazama tena).

Jumamosi 22 Mei, saa 12.00:  Mama Yesu wa Mama yetu wa Uhispania - rivedi ( tazama tena).

Dominika 23 Mei, saa 12.00: Mama yetu wa Cape  (Trois Rivières), Canada - rivedi  (tazama tena).

Jumatatu 24 Mei,  saa 12.00: Mama Yetu wa Lourdes - Nyaunglebin (Myanmar) – rivedi  ( tazama tena).

Jumanne 25 Mei, saa 12.00: Madhabau ya kitaifa ya Mama Ta' Pinu, Malta -rivedi (tazama tena)

Jumatano 26 Mei, saa 12.00:  Mama Yetu wa Guadalupe, Mexico - rivedi (tazama tena)

Alhamisi 27 Mei, saa 12.00: Mama wa Mungu (Zarvanytsia), Ukraine - rivedi (tazama tena).

Ijumaa 28 Mei, saa 12.00: Mama Mweusi wa Altötting, Ujerumani - rivedi(tazama tena).

Jumamosi  29 Mei, saa 12.00: Mama Yetu wa  Lebanon (Harissa), Lebanon - rivedi( tazama tena).

Dominika 30 Mei, saa 12.00: Bikira Mwenyeheri wa Rosari Takatifu ya Pompei, Italia - rivedi (tazama tena).

Jumatatu 31 Mei, saa 12.00: Bistani za Vaticani, mji wa Vatican - rivedi (tazama).

31 May 2021, 11:47