Tafuta

Vatican News

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Iraq:Qaraqosh,muwe na uwezo wa kusamehe na ujasiri

Wakristo wa mji wa kishahidi wa Bonde la Ninawi wamemkaribisha Papa Francisko ambaye amewatia moyo katika ujenzi mpya na ili wasikate tamaa na wasipoteze kamwe matumaini.Video fupi inaelezea matumaini hayo.

Na Sr. Angela Rwezaula – Vatican.

Muwe na uwezo wa kusamenee na ujasiri wa kupambana ndiyo maneno ya Papa Francisko Jumapili tarehe 7 Machi  wakati wa kutoa hotuba yake katika mji ambao uliona majanga makubwa ya vita huko Qaraqosh. Papa amewatia moyo katika ujenzi moya na ili wasikate tamaana na kuptema matumaini kamwe. Video fupi inaonesha Papa Francisko akiwa katika Kanisa Kuu la Mama Maria mkingiwa dhambi ya asili na ambaye wakati wa sala ya Malaika wa Bwana ametoa maneno ya kuwatia nguvu:”hata mbele ya uharibifu kwa macho ya imani yanaonesha ushindi wa maisha juu ya kifo”.

PAPA AKIWA KATIKA KANISA KUU LA QARAQOSH
PAPA AKIWA KATIKA KANISA KUU LA QARAQOSH
PAPA AKIRUSHA NJIWA
PAPA AKIRUSHA NJIWA
MAPATRIAKI WA KIORTHODOX
MAPATRIAKI WA KIORTHODOX
KANISA KUU LA QARAQOSH LINAONEKANA KWA JUU
KANISA KUU LA QARAQOSH LINAONEKANA KWA JUU
BONDE LA NINAWI
BONDE LA NINAWI
07 March 2021, 15:17