Tafuta

Vatican na Austria wametiliana saini Nyongeza katika Mkataba wa VII wa Makubaliano kuhusu Uratibu kuhusu uratibu wa mali uliotiwa mkwaju na nchi hizi mbili tarehe 23 Juni 1960. Vatican na Austria wametiliana saini Nyongeza katika Mkataba wa VII wa Makubaliano kuhusu Uratibu kuhusu uratibu wa mali uliotiwa mkwaju na nchi hizi mbili tarehe 23 Juni 1960. 

Vatican na Austria Watiliana Saini Mkataba Wa VII Wa Nyongeza!

Vatican na Austria zimetiliana saini Nyongeza katika Mkataba wa VII wa Makubaliano kuhusu uratibu wa mali ya Kanisa uliotiwa mkwaju na nchi hizi mbili tarehe 23 Juni 1960 huko mjini Vienna, Austria. Askofu mkuu Pedro López Quintana, Balozi wa Vatican nchini Austria amesaini mkataba huu pamoja na Bi Susanne Raab, Waziri wa mambo ya Wanawake na Ushirikishwaji wa Umma.

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.

Tarehe 12 Oktoba 2020, majira ya saa 7:00 kwa saa za Ulaya, Vatican na Austria zimetiliana saini Nyongeza katika Mkataba wa VII wa Makubaliano kuhusu uratibu wa mali ya Kanisa uliotiwa mkwaju na nchi hizi mbili tarehe 23 Juni 1960 huko mjini Vienna, Austria. Askofu mkuu Pedro López Quintana, Balozi wa Vatican nchini Austria amesaini mkataba huu pamoja na Bi Susanne Raab, Waziri wa mambo ya Wanawake na Ushirikishwaji wa Umma.

Sherehe hii kwa upande wa Kanisa imehudhuriwa na Monsinyo Kevin Randall, Mshauri wa Ubalozi wa Vatican nchini Austria. Na serikali ya Austria imewakilishwa na Balozi Helmut Tichy, Kiongozi mkuu wa Wizara ya Mambo ya Umoja wa Ulaya na Masuala ya Kimataifa nchini Austria pamoja na Dr. Franziska Ramharter Dr. Romed Perfler, Kiongozi mkuu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Dr. Georg Schwinghammer kutoka ofisini hapo.

Mkataba

 

 

 

15 October 2020, 14:26