Papa Francisko ametembelea Kanisa la Kigiriki Katoliki
Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya kukutana na maskini katika Kanisa la Mtakatifu Elizabeth wa Hungaria Jumamosi tarehe 29 Aprili 2023, alitembelea pia Jumuiya ya Kigiriki katoliki “ la Ulinzi wa Mama Maria. Katika fursa hiyo baada ya masomo yaliyo somwa walisali pia kwa pamoja na kuwabariki.
29 April 2023, 16:03