Tafuta

Vatican News
POPE FRANCIS IN BARI POPE FRANCIS IN BARI  (ANSA)

Papa Francisko: Siku ya Sala ya Kiekumene, imefana sana!

Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru na kuwapongeza wakuu wa Makanisa ya Mashariki na Jumuiya za Kikristo huko Mashariki ya Kati kwa kufanikisha Siku ya sala na tafakari kwa ajili ya Mashariki ya Kati, tukio ambalo limekuwa ni kielelezo makini cha uekumene wa sala kati ya Wakristo!
08 July 2018, 08:19