Papa Francisko akiwa anasali Rosari Papa Francisko akiwa anasali Rosari 

Nguvu ya watu wanaoamini kile wanachoomba!

Mbio za Maria katika kusali Rosari Takatifu alizoomba Papa Francisko kwa ajili ya kuomba Mungu ili janga liishe ni kipaumbele cha sala katika kipindi cha hatari kwa namna ya pekee kumwomba Bikira ambaye wakristo wote wanamkimbilia tangu macheo ya Injili,hadi nyakati zetu.

Angela Rwezaula - Vatican

Kushinda jinamizi lisiloonekana ambalo linazima taratibu pumzi katika kitanda cha hospitali au labda akiwa njiani kuelekea hosptalini, mahali ambapo anakwenda bila hata kujua kama atapata kitanda hicho hata kwa kupiga magoti! Inawezekana kuwa njia muhimu sana katika kipindi ambacho zamani ilikuwa ndilo suluhisho la kuzaliwa kwa upya. Hii ni kwasababu walio wengi katika shida waliamini nguvu hizo za Mungu na walikimbilia sala na zaidi jumuiya za kwanza za Kikristo ambao waliweza kutengeneza kamauwanja mpana wa Injili. Tofauti na nyakati zetu ambazo ubinafsi unaoneshwa na kudai karibu kila mahali kuelekea kudhalilisha hali ya kutenda kwa jumuiya  hasa ikiwa haionekani ile hali ya kiroho. Kiukweli katika Injili ya Mathayo 18,19), inatosha kuondoa mashaka na kusita juu ya ufanisi wa sala ya pamoja, ambayo inaripoti uhakikisho huo wa Yesu: “Wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.” Ni ahadi thabiti, inayoweza kuamsha matumaini makubwa kipindi hiki. Ni matarajio yenye nguvu hata zaidi ikiwa ombi linamfikia Mungu kupitia maombezi ya Mwakilishi wetu, Mama Maria aliyeahidiwa. Ni kumbukumbu ya sala iliyounganisha ulimwengu wote katika mwendo wa ibada tangu zamani. Na hii inajionesha wazi kwa wakristo wa kwanza.

Ibada ambayo wakati huo ilipata mwitikio  mkubwa wa Rosari katika ulimwengu, nafasi ya matumaini kwa roho moja au zaidi pamoja, wakati wa faraja labda hata kwenye upweke chini hewa nzuri, na nguvu ya pumzi ya mwisho. Wakristo wa kwanza, labda kwa sababu walikuwa watoto wa Injili, yaani ambayo ilikuwa bado ni changa,kwayo waliielewa hii mara moja! Vile vile katika makaburi ya kizamani ndani ya ardhi (Catacombs) yamejaa maandiko yaliyokabidhi mtu au kitu kwa mama Maria. Hata kabla hata Mtaguso wa zamani wa Efeso, Kumtambua  Maria kama Mama wa Mungu, sala nyingine, wakati mwingine zaidi ya minong'ono iliyochorwa kwenye mwamba, ilisikikia katika midomo ya wale ambao walihisi hatari na walimfikiria Maria  kama ngome dhidi ya uovu wowote. ‘Sub tuum praesidium’, “Chini ya ulinzi wako tunatafuta kimbilio, Mama Mtakatifu wa Mungu… ni sala ambayo Kanisa limekuwa likiomba kwa angalau miaka 1,800 na historia ya Kikristo pia ni historia ya kujitoa kabisa na kusadikika kwa Maria. Ni historia ya neema nyingi za nyakati za  “uponyaji” na ambaye anajua ni miujiza mingapi ya kibinafsi ilitendekea. Na ni ibada ambayo wakati huo ilipata mwitikio ulimwengu katika Rozari, nafasi ya matumaini kwa roho moja au zaidi pamoja, wakati wa faraja labda hata wakati wa upweke.

Historia hii inafika hadi leo hii kupitia ishara na maneno ya watakatifu kwa jina au kiukweli, wakati mwingine kwa jina lisilojulikana.  Kwa mapapa ambao hawakusita kamwe kuwakabidhi wanadamu wote kwa Mama wa Mungu wote walioko ukingoni au kwenye dimbwi la vita na majanga kwa. Inafikia hadi kwa  maneno ya Papa Fransisko, Paroko  wa parokia ya ulimwengu wakati ulimwengu. Hii ilionesha wazi  kwa kukabidhi  nia zake za kila siku kutokea katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta Vatican  na kila siku moja kujitolea katika sala ya upweke kwa ajili ya  faraja ya sala  katika kipindi cha karantini. Pamoja na hayo inafikia hata ile a ishara zake na sala ya faragha kwa mfano tarehe 27  Machi Papa, alisali katika uwaja wa Mtakatifu Petro akiwa peke yake mbele za Msalaba wa kizamani na kuomba katika picha ya Mama Maria Afya watu wa  Waroma lakini kwa kuwaombea ulimwengu mzima. Vile vile sala imeombwa na waze wengi kama alivyokumbusha Baba Mtakatifu Jumatano katika katekesi yake kuhusiana na sala ya ming’ono inyaojaza kanisa , na kwamba haisumbui, ni mzee anaye mwomba baba yake ili aweze kumpatia anachohitaji na hivyo hata kupitia kwa mama yetu Maria. Mbio za Maria ni historia ya imani ambayo sasa inatajiriwa kufanya na  kwaya za Madhabahu therathibi za  Mama Maria ulimwengu ambazo zimefikiriwa kama  kama taji la rosari inayosafiri na kujibizana.

24 April 2021, 18:22