Tafuta

Padre Chagas:WYD,uzoefu wa ulimwengu wote na ukatoliki

Mkuu wa Ofisi ya Vijana ya Baraza la Kipapa la Walei,Familia na Maisha amezungumzia Siku ya Vijana Duniani huko Lisbon kuwa ni maambukizi mapya ya furaha na neema ya Mungu. Ilikuwa nzuri kuona bendera za nchi zote za ulimwengu kwenye sherehe ya kukaribisha,pamoja na watu wa lugha na mataifa yote.Hakika ilikuwa siku ya sherehe na mwanga
05 August 2023, 11:07