Tafuta

Jengo la Baraza la Kipapa la Uinjilishi. Jengo la Baraza la Kipapa la Uinjilishi.  (Vatican Media)

Papa awateua Mons.Balagapo na Mons.Hyuntaek,kuwa maafisa wakuu Ofisi ya Uinjilishaji

Baba Mtakatifu Francisko Jumanne tarehe 18 Julai 2023 amewateua Wakuu wa Ofisi katika Kitengo cha kwanza cha Unijilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la Unjishilishaji kwa kipindi cha miaka mitano. Hao ni Monsinyo Erwin Aserios Balagapo na Monsinyo Han (Agostino) Hyuntaek, ambaye hadi uteuzi huo alikuwa afisa wa Baraza hilo.
19 July 2023, 17:08