Kardinali António Augusto dos Santos Marto, Askofu Mstaafu wa Leiria-Fátima Ureno. Kardinali António Augusto dos Santos Marto, Askofu Mstaafu wa Leiria-Fátima Ureno.  (Diocese de Leiria – Fátima)

Uteuzi wa mjumbe wa Baraza la kipapa la kutangaza Watakatifu

Kardinali António Augusto dos Santos Marto,Askofu Mstaafu wa Leiria-Fátima Ureno ni mjumbe wa Baraza la Kipapa la juwatangaza watakatifu.

Na Angella Rwezaua; - Vatican.

Jumatano tarehe 15 Februari 2023, Baba Mtakatifu amemteua mjumbe wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza watakatifu kwa Kardinali António Augusto dos Santos Marto, Askofu Mstaafu wa Leiria-Fátima Ureno.

Maombi ya kung'atuka

Na wakati huo huo, Baba Mtakatifu Francisko amekubali maombi ya kung’atuka katika Ubalozi wa Vatican katika Jamhuri ya Dominica na  Mwakilishi wa kitume wa Porto Rico, yaliyowakilishwa na Askofu Mkuu Ghaleb Bader, wa kiti cha  Matara ya Numidia.

Askofu Mkuu Ghaleb Bader waliyekuwa Balozi wa Vatican nchini Jamhuri ya Doniminika na Mwakilisho wa kitume wa Porto Rico
Askofu Mkuu Ghaleb Bader waliyekuwa Balozi wa Vatican nchini Jamhuri ya Doniminika na Mwakilisho wa kitume wa Porto Rico
15 February 2023, 16:24