Tafuta

2022.06.13 Kardinali ietro Parolin na Askofu Mkuu  Paul Richard Gallagher  walmepokea Tuzo kutoka Serikali ya Hungara mnamo tarehe 8 Juni 2022. 2022.06.13 Kardinali ietro Parolin na Askofu Mkuu Paul Richard Gallagher walmepokea Tuzo kutoka Serikali ya Hungara mnamo tarehe 8 Juni 2022. 

Tuzo ya Nchi ya Hungaria kwa Kardinali Parolin,Katibu Vatican

Katibu wa Vatican Kard. Parolini na Askofu Mkuu R. Gallagher walipokea tuzo kutoka kwa Nchi ya Hungaria kwa sababu ya kutambua kazi yao ya kuhamasisha uhusiano kati ya Hungaria na Vatican na kuwezesha ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko katika kufunga Misa ya Kongamano la 52,la Ekaristi Kimataifa huko Budapest.

Na Angella Rwezaula – Vatican.

Tuzo ya Serikali ya Hungaria imekabidhiwa mnamo tarehe 8 Juni 2022, jijini Roma katika Taasisi ya Kipapa ya Kikanisa ya Hungaria kati ya wengine, waliotuzwa ni pamoja na Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican na Askofu Mkuu Paul Richard Gallagher, Katibu wa Vatican wa Mahusiano ya Nchi na Mashirika ya Kimataifa. Aliyekabidhi tuzo hizi ni Zsolt Semjén, Makamu waziri Mkuu wa Hungaria.

Tuzo kwa Kardinali  Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.

Katika afla hiyo aliudhuria pia Kardinali Péter Erdő, Mkuu wa Kanisa la Hungaria, Bwana Eduard Habsburg-Lothringen, Balozi wa Hungaria anayewakilisha nchi yake Vatican na Jumuiya ya Taasisi ya Kipapa ya Kikanisa ya Hungaria.

Tuzo kwa Kardinali  Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.
Tuzo kwa Kardinali Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.
Tuzo kwa Kardinali  Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.
Tuzo kwa Kardinali Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.

Tuzo hiyo  ni Msalaba wa Heshima kutoka Shirika la Hungaria uliotolewa na Bwana Daniel Pacho, mhusika wa Mawasiliano kwa ajili ya masuala ya Hungaria katika Kitengo cha Mahusiano kwa Makatibu wawili wa Vatican hasa kwa kutambua kazi zao za kuhamasisha uhusiano kati ya Hungaria na Vatican na kuwezesha ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko katika kufunga Misa  ya Kongamano la 52 Kimataifa la Ekaristi huko Budapest.

Tuzo kwa Kardinali  Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.
Tuzo kwa Kardinali Parolini na Askofu Mkuu P Gallagher kutoka Serikali ya Hungaria.
13 June 2022, 16:11