Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Iraq:Mosul,udugu un nguvu mauaji

Jumapili tarehe 7 Machi 2021 ilikuwa ni siku moja yenye kuwa na mawazo makuu ya wale ambao hawapo tena kutokana na kuuwawa wakati wa vita.Papa amewaombea mashahidi hao na pia kuwaombea watesi wao ili watubu.

Na Sr. Angela Rwezaula – Vatican.

Ikiwa ni siku ya tatu ya Papa Francisko nchini Iraq, Jumapili tarehe 7 Machi amejikita kusali kwa ajili ya waathirikwa wa vita huko Mosul. Video fupi inaonesha moja ya wakati muhimu sana na wenye mawazo makuu ya  Papa Francisko nchini Iraq, ambayo imeona maombi kwa ajili ya watu walioathirika katika vita huko Mosul.

WATAWA WAKIMSUBIRI PAPA
WATAWA WAKIMSUBIRI PAPA

Ni mji ulioharibiwa na ghadhabu ya ISIL lakini ambao umeanza hatua kwa hatua za ujenzi mpya hata na uzoefu wa ushirikiano kati ya Wakristo na Waislamu. Papa Francisko katika kuelezea kilichotendeka wakati huo amesema ulikuwa ni ukatili  ambaoi uliikumba na dhoruba kama hiyo isiyo ya kibinadamu. Kwa njia hiyo Papa amewakabidhi waathiriwa wote na marehemu kwa Bwana na wakati huo huo anawaombea pia watesi watubu.

WATU WAKISUBITO PAPA KABLA YA KIFIKA
WATU WAKISUBITO PAPA KABLA YA KIFIKA
HII NI ZAWADI KWA PAPA ILIYOANDALIWA NA WAKRISTO WA KARJIYA BAQTAR
HII NI ZAWADI KWA PAPA ILIYOANDALIWA NA WAKRISTO WA KARJIYA BAQTAR
KANISA LA MARIA MKINGIWA HUKO QARAQOSH
KANISA LA MARIA MKINGIWA HUKO QARAQOSH
07 March 2021, 15:00