Tafuta

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu alberto Ortega Martin kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Chile, kabla ya uteuzi huu alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Yordan na Iraq. Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu alberto Ortega Martin kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Chile, kabla ya uteuzi huu alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Yordan na Iraq. 

Askofu mkuu Alberto O. Martin ateuliwa kuwa Balozi, nchini Chile

Askofu mkuu Alberto Ortega Martín alizaliwa tarehe 14 Novemba 1962 huko Madrid, nchini Hispania. Baada ya masomo na majiundo yake ya kikasisi, tarehe 28 Aprili 1990 akapewa Daraja Takatifu ya Upadre. Baba Mtakatifu Francisko kunako tarehe 1 Agosti 2015 akamteuwa kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Yordan na Iraq na hatimaye, kuwekwa wakfu tarehe 10 Oktoba 2015.

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Alberto Ortega Martín kuwa balozi mpya wa Vatican nchini Chile. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Martìn alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Yordan na Iraq. Itakumbukwa kwamba, Askofu mkuu Alberto Ortega Martín alizaliwa tarehe 14 Novemba 1962 huko Madrid, nchini Hispania. Baada ya masomo na majiundo yake ya kikasisi, tarehe 28 Aprili 1990 akapewa Daraja Takatifu ya Upadre. Baba Mtakatifu Francisko kunako tarehe 1 Agosti 2015 akamteuwa kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Yordan na Iraq na hatimaye, kuwekwa wakfu tarehe 10 Oktoba 2015.

Uteuzi Chile

 

08 October 2019, 10:45