Beta Version

Cerca

Vatican News
The Angelus (© Biblioteca Apostolica Vaticana)

Malaika wa Bwana


Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria,
naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Salama Maria………
Ndimi mtumishi wa Bwana
nitendewe ulivyonena.
Salamu Maria………
Neno wa Bwana akatwaa mwili,
akakaa kwetu
Salamu Maria………
Utuombee mzazi mtakatifu wa Mungu,
tujalie ahadi za Kristo
Tuombe
Tunakuomba ee Bwana utie neema yako moyoni mwetu,
ili sisi tuliojua kwa maelezo ya malaika kwamba
mwanao amejifanya mtu kwa mateso na msalaba wake
utufikishe kwenye utukufu na ufufuko
tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina.