Tafuta

Ziara ya Kitume ya Papa Francisko Mongolia:tamasha la kiutamaduni

Katika fursa ya ziara ya kipapa waandishi wa habari wanaofuatilia ziara yake wamekaribishwa katika tamasha la kiutamaduni huko Besreg Naadam, kilomita 40 kutoka mji mkuu Ulaanbaatar.Ni katika ugunduzi wa muziki na ngoma za utamaduni wa watu haoNi maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Vatican News,Massimiliano Menichetti
01 September 2023, 18:45