Dakika moja ya muhtasari wa ziara ya Papa Francisko huko Hungaria
Kuanzia kuwasili Budapest hadi kurudi Roma.Ni siku tatu za mikutano,sherehe na mazungumzo ya faragha na viongozi wa kisiasa,mapadre,vijana,watoto maskini na wagonjwa aliyofanya katika ziara ya 41 ya kitume huko Budapest nchini Hungaria.
30 April 2023, 22:30