Tafuta

Miaka Kumi ya Upapa,2022-2023:Papa Francisko na Vita vya Tatu vya kidunia

Ukraine"iliyopigwa" ni kipande cha mwisho cha picha ya ulimwengu iliyozama kwenye dimbwi la vita ambayo inaharibu kila kitu na ambayo Papa anatokwa machozi. Ombi la Papa Fransisko kwa dhamiri katika mwaka huu na nusu ni endelevu hali kadhalika hatua zilizochukuliwa kwa jina la ukweli,upatanisho na mazungumzo.

Hayo yote yameonekana katika safari zake za Canada, Kazakhstan, Bahrain na kisha Afrika. Ni mwaka unaoisha ukimwona anarudi  Papa Mstaafu Benedikto XVI kwenye Nyumba ya Baba wa mbinguni.

 

Video 10 na Papa Francisko 2013-2023
13 Machi 2023, 10:59