Miaka kumi ya Upapa,2020:Papa Francisko na mtumbwi wa Petro
Janga la Uviko-19:Papa kila mara amefanya ukaribu wake katika maombi ili kuhisi ulimwengu ambao unakabiliwa na wakati wa kihistoria wa maumivu na sadaka.Picha zisizosahaulika,ishara na maneno ni alama ya mwaka huu,kwa uhakika kwamba "Mungu hatuachi kwa huruma ya dhoruba".
13 March 2023, 10:50