Tafuta

Miaka kumi ya Upapa,2016:Papa Francisko na Jubilei ya Huruma

Mlango Mtakatifu wa Mtakatifu Petro unafunguliwa na maana ya "kile kinachompendeza Mungu zaidi","kusamehe watoto wake" unafunguliwa kwa ulimwengu. Mwaka Mtakatifu kwa Papa Francisko ni kukumbatia kwa muda mrefu, kuanzia ule wa kihistoria na Patriaki Kirill wa Kiorthodox wa Moscow na Urussi yote.
13 March 2023, 10:27