Tafuta

Miaka kumi ya Upapa,2014:Papa Francisko na Amani

Si kuta bali madaraja:huu ni ujumbe wa upatanisho na mazungumzo unaomwongoza Papa Fransisko pia katika mwaka wa pili wa Upapa wake, mwaka wa ziara yake kuelekea Nchi Takatifu kwa kufuata nyayo za watangulizi wake na kuingia kwake msikitini nchini Uturuki. Lakini pia mwaka unaomwona akiwavutia viongozi wa Ulaya ili utu siku zote uwe bora kuliko faida
13 March 2023, 10:19