Tafuta

Siku ya pili ya Papa Francisko nchini Sudan Kusini kwa dakika moja

Siku ya pili ya Papa Francisko nchini Sudan Kusini ina matukio mengi.Asubuhi alikutana na maaskofu,mapadre,mashemasi, watawa kike na kiume na waseminari katika Kanisa kuu la Mtakatifu Teresa huko Juba.Amewaalika wawe katikati ya watu wenye shida.Alasiri alisikiliza shuhuda za wakimbizi wa ndani aliowataja kuwa ni mbegu ya Sudan Kusini mpya,hatimaye katika Sala ya Kiekumene alibainisha kuwa kusali ni jambo la kwanza ili kufanya kazi vizuri.
04 February 2023, 20:30