Papa akutana na Waziri Mkuu wa Gibilterra
Jumatatu tarehe 6 Juni 2022, Papa Francisko alikutana na mkuu wa serikali ya eneo la ng'ambo ya Uingereza,Bwana Fabian Picardo, akifuatana na mkewe na mjumbe wa jeshi.
06 June 2022, 18:20