Kamwe vita isitokee tena! Ni Wito wa Mapapa dhidi ya vita
vita visitokee tena!Amani lazima iongoze hatima ya watu na wanadamu wote.Kuanzia kilio cha Papa Paulo VI katika Umoja wa Mataifa mnamo Oktoba 4,1965,hadi kufikia onyo lililotolewa kwa vijana na Yohane Paulo II kwenye sala ya Malaika wa Bwana 16 Machi 2003,kwamba kamwe vita vitokee tena,hadi maneno ya Papa Francisko,mbele ya waamini na mahujaji mnamo 23 Machi 2022:“Yesu alitufundisha kwamba upumbavu wa kishetani wa vurugu hujibiwa kwa silaha za Mungu,maombi na kufunga.Video ni miito ya Mapapa.
25 February 2022, 18:04