Tafuta

Vatican News
Wanajeshi wa Marekani kutua Normandy wakati wa vita ya pili ya dunia Wanajeshi wa Marekani kutua Normandy wakati wa vita ya pili ya dunia 

Papa anakazia kuhamasisha udugu wa kweli duniani!

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 6 Juni ametuma ujumbe kwa askofu Jean-Claude Boulanger wa Bayeux-Lisieux,Ufaransa kufuatia na maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 75 tangu majeshi ya Marekani walipofika Normandy tarehe 6 Juni 1944 ili kuwakomboa dhidi ya utawala wa Kinazi.Papa anakazia kuhamasisha udugu wa kweli duniani unaojikita juu ya utamaduni wa makutano na majadiliano.
07 June 2019, 09:31