Cerca

Vatican News
Maneno ya Baba Mtakatifu Francisko aliyo andika katika kitabu kwenye nyumba ya Padre Pino Puglisi Maneno ya Baba Mtakatifu Francisko aliyo andika katika kitabu kwenye nyumba ya Padre Pino Puglisi 

Maneno ya Papa Francisko katika parokia ya Padre Puglisi!

Baba Mtakatifu Francisko anamshukuru Bwana katika mwaka wa 25 tangu kifodini cha Padre Pino Puglisi. Amethibitisha hayo katika maandishi yake, alipotembelea nyumba aliyo kuwa akiishi kuhani huyo

Sr. Angela Rwezaula – Vatican

Baba Mtakatifu Francisko alipotembelea Parokia ya Mtakatifu Gaetano iliyokuwa ni ya padre Pino Puglisi, ameandika katika kitabu maneno haya:

Katika Mwaka wa 25 tangu kifodini cha Padre Pino Puglisi, ninamshukuru Bwana kwa ushuhuda wake na ninaomba damu yake iwe chembe ndogo ya maisha mapya ya kikristo.

16 September 2018, 11:01