Tafuta

Vatican News
Papa Francisko akiandika maneno katika kitabu cha wageni katika nyumba aliyokuwa anaishi Padre Pino Puglisi Papa Francisko akiandika maneno katika kitabu cha wageni katika nyumba aliyokuwa anaishi Padre Pino Puglisi  (ANSA)

Papa:Kwa mfano wa Padre Pino, miito mingi ipate kuzaliwa

Papa Francisko ameandika maneno katika kitabu cha wageni kwenye nyumba aliyokuwa anaishi Padre Pino Puglisi, mara baada ya kuitembelea na kuiona

Sr. Angela Rwezaula - Vatican 

Baba Mtakatifu Francisko alipotembelea nyumba alipokuwa anaishi Padre Pino Puglisi, ameandika maneno kwenye kitabu ya kuwa: Ni matarajio yangu kwamba, kwa mfano wake Padre Pino, miito meingi inawezakana kuzaliwa.

 

16 September 2018, 11:38