Tafuta

Baba Mtakatifu anaendelea na utetezi wa watoto waathirika Baba Mtakatifu anaendelea na utetezi wa watoto waathirika 

Barua ya Papa Francisko kwa Watu wa Mungu !

Papa anaandikia kuwa:Tunahisi aibu tunapotambua kuwa mtindo wetu wa maisha unasaliti na kutoenenda na kile ambacho tunatamka kwa sauti zetu. Kwa aibu hiyo na toba kama jumuiya ya Kanisa, tunakubali kuwa hatukutambua kukaa mahali ambapo tulitakiwa kukaa, hatukutenda tuliyo kuwa tunapaswa kwa muda uliotakiwa!

Sr. Angela Rwezaula - Vatican

Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho (1Kor 12,26). Maneno haya ya Mtakatifu Paulo yanatoa sauti kwa nguvu katika mioyo, kwa mara nyingine tena katika mateso ya watoto walioathiriliwa na manyanyaso ya kingono, ya nguvu na kwa dhamiri za wale namba kubwa ya makasisi na watu waliotia wakfu. Uhalifu ambao inaleta majrehaa ya uchungu wa kina na usiolezeka, hawali ya yote kwa waathirika, lakini pia hata familia zao, na jumuiya nzima , wake waamini na wasio kuwa waamini. Kwa kutazama wakati ulio piata haitatosheleza kwa kile ambacho hata kuoma msaa na kutafuta kufua majanga yaliyo tokea.

Kwa kutazama wakati endelevu, haitakuwa kidogo kile ambacho kinafanyika kutoa maisha katika utamaduni na  uwezo wa kuzuia hali hizi ambazo si kwamba zisirudiwe tena,lakini pia ni kutokana na kuwa naibu hata kufikia kiasi cha kukosa nafasi ya ya kujifucha kutokana na kufunikwa kwa majanga haya.Uchungu wa waathirika na familia zao, pia  uchungu wa watu  kwa hakika unahamasisha kwa mara nyingine kijikita katika kuhakikisha kunakuwapo ulinzi wa watoto na watu wazima walio katika hali hiyo ya kuathirika.

Kama kiungo kimoja kibaumia

 “Siku chache ziliozopita ilitangazwa ripoti ambayo inaelezea uzoefu wa karibia watu 1000 ambao wameathirika na manyanyaso ya kingono, ya nguvu na kidhamiri kwa njia ya mikono ya makleri, takaribani ya miaka 70 iliyopita. Kwa maana hiyo sehemu kubwa ya kesi inatazama nyakati zilizo pita, lakini pia kwa kipindi cha nyakati  tunatambua uchungu kwa wale waathirika  na kuendelea kuona majeraha hayo hayafutiki kamwe,ambapo inatulazimu kulaani kwa nguvu zote matendo haya, na kama vile kujikita kwa kina kwa nguvu zote ili kung’oa utamaduni huu wa kifo; majeraha hayawezi kuelezeka”

Uchungu wa waathirika hawa ni maombolezo ambayo yakwenda juu mbinguni na kugusa roho na ambayo kwa kipindi kirefu yamedharauliwa, yamefichwa au kunyamazishwa. Lakini kilio chake kimekuwa kikubwa katika vipimo vyote ambavyo  vimetafuta namna ya kunyamazisha au hata kujidai kusuluhisha kwa maamuzi ambayo yamesababisha kuongeza ugumu zaidi. Ni kilio ambacho Bwana amesikia na kufanya kionekana kwa mara nyingine tena  ni sehemu gani kinaweze kukaa. Wimbo wa Mama Maria haukosei ambao kwa chini chini umeendelea katika mchakato wa kihistoria kwasababu Bwana anakumbuka ahadi zake alizofanya kwa mababu zetu: “Amewatawanya wenye kiburi katika mawazo ya mioyo yao, amewashusha wenye nguvu  kutoka viti vyao vya enzi akawakweza wanyenyekevu wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu” (Lk 1,51-53). Baba Mtakatifu anaendele: Tunahisi aibu tunapotambua kuwa mtindo wetu wa maisha unasaliti na kutoenenda na kile ambacho tunatamka kwa sauti zetu. Kwa aibu hiyo na toba kama jumuiya ya Kanisa, tunakubali kuwa hatukutambua kukaa mahali ambapo tulitakiwa kukaa, hatukutenda tuliyo kuwa tunapaswa kwa muda  uliotakiwa, japokuwa na utambuzi wa ukuu na makosa makubwa ambayo yalikuwa yanaendelea kuwatesa waathirika wengi.

Tumedharau na kuacha watoto; kwa maana hiyo Papa Francisko anatumia maneno ya aliye kuwa Kardinali Ratzinger (Papa Benedikto XVI) yaweze kuwa ya kwake na kwamba, wakati wa kufanya njia ya Msalaba siku ya Ijumaa Kuu  mwaka 2005, waliungana pamoja na kilio cha uchungu kwa waathirika wengi na kwa nguvu zote na kusema: “ ni uchafu gani uliopo katika Kanisa, hata kati ya wale ambao kama mapadre wanapaswa wawe wa Kanisa moja kwa  moja na Yeye. Ukiburi gani uliopo hata ukosefu wa kujitosheleza!... Usaliti kwa upande wa wafuasi wake, alioupokea Mwili wake na Damu yake kwa hakika ni uchungu mkuwa sana wa Mwokozi, na ndiyo huo unaaochoma moyo wake. Hatuna jambo lolote linalobakia kwetu sisi zaidi ya kutoa kilio cha kina ndani ya moyo na kusema Kyrie, eleison –  Bwana utuhurumie, (Taz. Mt 8,25)» (Kituo cha 9, 2005)

Viungo vyote vinaumia kwa pamoja

Ukuu na ukubwa wa matukio haya unahitaji kubebwa kulingana  na jambo hili kwa namna  ya upamoja na jumuiya. Ili kuleta umuhimu na lazima kwa kila hatua ya uongofu wa kujitathimini dhamiri ya kile kilichotukia, lakini pia peke yake hakitoshi. Leo hii tunaalikwa kama Watu wa Mungu kubeba uchungu wa ndugu zetu majeruhi kimwili na kiroho. Iwapo nyakati zilizopita, kulitokea kutotimiza wajibu imesababisha kuwa mtindo wa jibu ambao leo hii tunataka  kuwa na mshikamano wa kuweze kueleweka katika maana yake ya kina na dharura. Mshikamani uwe ndiyo mtindo wa kutengenza historia ya wakati uliopo na endelevu mkwa mantiki ya mahali palipo na migogoro, mivutano, hasa hasa kwa waathirika wa kila aina ya manyanyaso iweze msaada wa yule anaye nyosha mkono kuwalinda na kuwaondoa katika uchungu wao,(taz. Wosia  Evengilii gaudium 228).

Mshikamano huo unatakiwa kwa mana nyingine kutoa taarifa ya kile ambacho kinaweza kuhatarisha ufungani wa kila mtu. Mshikamano ambao unatangaza mapambano dhidi ya kila aina ya ufisadi, hasa hasa ule wa kiroho, kwasababu ni suala linalohusu upofu na kujitosheleza, mahali ambapo mwishowe kila kitu uonekana kuwa halali: uongo, masengenyo, ubinafsi na aina nyingi za vizingiti vya utofauti, kwasababu hata shetani anajifunika kitambaa cha Malaika wa mwanga, (taz. 2 Cor 11,14) na  (Wosia: Furahieni na kushangilia, 165). Wito wa Mtakatifu Paulo wa kuumia na yule anayeteseka, ndiyo njia bora dhidi ya kila utashi wa kuendelea kutolewa kwa upya kati yetu maneno ya Kaino: Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? (Mw 4,9 )

Baba Mtakatifu Francisko anaendelea: Ninao utambuzi wa nguvu na kazi ambayo inatimizwa katika sehemu mbalimbali za dunia ili kuhakikisha na kwa haraka ulinzi wa kuweza kutoa usalama na kulinda kikamilifu watoto na watu wazima walio athirika; vilevile kama jinsi ilivyosambaratika tabia ya kutojali na hatua  ambayo inachukuliwa kwa wale ambao wametenda au wale wanaofunika kuficha uhalifu huo. Tumechelewa kuanza matendo hayo,lakini  ambapo kwasasa ni lazima. Ninayo matumaini ya kwamba inatawasaidia kuhakikisha kwa kiasi kikubwa cha kuwa na utamaduni wa kulinda  kwa wakati uliopo na ule endelevu…

21 August 2018, 17:21