The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
leo katika Dominika hii ya pili ya Kwaresima tunaletewa ujumbe wa Mungu unaotualika kuweka kipaumbele chetu katika kuisikia na kuitii sauti ya Mungu inayotudai tubadilike. ...
Ukulu wa Mtakatifu Petro ni kielelezo cha mamlaka aliyopewa na Kristo Yesu ili kufundisha, kuongoza na kuwatakatifu watu wa Mungu katika kifungo cha upendo. Mtume Petro alikirimiwa ...
Maadhimisho ya Siku ya 110 ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani tarehe 29 Septemba 2024 yananogeshwa na kauli mbiu "Mungu hutembea na watu wake." Kaulimbiu hii ni kielelezo cha Mama ...
Mama Evaline Malisa Ntenga Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani, Rais wa WUCWO” Afrika na Mwenyekiti wa WAWATA, Taifa, katika makala hii anapembua kwa kina na ...
Uamuzi wa Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuambatana na wawakilishi wa Waamini Walei Tanzania ikiwa ni pamoja na wawakilishi wa Vyama, Mashirika na Jumuiya za Kitume ambao kwa ...
Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu, Baraza la Kipapa la Kwa Ajili ya Makanisa ya Mashariki, Sekretarieti kuu ya Sinodi za Maaskofu pamoja na Baraza la Kipapa kwa Ajili ya ...
Kuelekea Maadhimisho ya Sinodi Mwezi Oktoba 2024. Huu ni mwaliko kwa wale wote walioshiriki katika hatua mbalimbali za Maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu wawe ni mashuhuda wa ...
Baba Mtakatifu Francisko Jumatatu tarehe 11 Desemba 2023 amekutana na kuzungumza na wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Vatican na kukazia mambo makuu mtatatu: ...
Hotuba ya Baba Mtakatifu kwa wajumbe wa Tume ya Taalimungu Kimataifa amekazia umuhimu wa wongofu wa kimisionari tayari kujikita katika mchakato wa uinjilishaji mintarafu Mtaguso ...
Papa Francisko katika ujumbe wake, amerejea kumbukumbu ya tarehe 6 Januari 1964 Mtakatifu Paulo VI alipokutana na kuzungumza na Patriaki Athenagoras wa kwanza wa Kanisa la ...
Baba Mtakatifu Francisko anasema, nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wadogo ni kashfa ya usaliti wa utu, heshima na haki msingi za binadamu, ambazo Mwenyezi Mungu amekirimiwa na ...
Ilipogota tarehe 19 Novemba 2023, familia ya watu wa Mungu kutoka ndani na nje ya Tanzania wakaungana ili kumwimbia Mungu wimbo wa pongezi kwa Askofu mkuu mstaafu Ruzoka na ...
Sekretarieti Kuu ya Sinodi imetoa toleo kwa vyombo vya habari juu ya "Barua kwa Watu wa Mungu" kutoka katika Mkutano Mkuu wa 16 wa Kawaida wa Sinodi ya Maaskofu.
Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI, kuanzia tarehe 11 Novemba hadi 12 Novemba 2023 linaadhimisha Siku ya 73 ya Shukrani Kitaifa kwa kunogeshwa na kauli mbiu "Mtindo wa ...
Askofu Edward Elias Mapunda wa Jimbo Katoliki Singida ndiye aliyehitimisha kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Parokia ya Damu Azizi ya Yesu, Itigi, ...
Tathmini ya Maadhimisho ya Siku ya 37 ya Vijana Ulimwenguni nchini Ureno yaliyonogeshwa na kauli mbiu “Maria aliondoka akaenda kwa haraka.” Lk. 1:39 mwendelezo wa tema kuhusu ...
Mahojiano: Vita kati ya Israeli na Palestina; Uraibu wa vita na chuki dhidi ya Wayahudi; Vita kati ya Urusi na Ukraine; Wimbi kubwa la wahamiaji; Dhamana na utume wa wanawake ...
Hati ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu imegawanyika katika sehemu kuu tatu: Utume wa Kanisa; Waamini walei na familia; Majiundo na ujenzi wa utamaduni wa kusikiliza. Hati hii ni dira na ...
Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kupenda ni kuhudumia na kwamba, Kanisa linaitwa na kutumwa kumwabudu Mungu na Kanisa linapaswa kuwa ni kwa ajili ya huduma na bandari ya huruma ya ...
Baba Mtakatifu amewashukuru na kuwapongeza wawezeshaji wakuu kutoka Sekretarieti kuu ya Sinodi waliojisadaka bila ya kujibakiza, ili kuhakikisha kwamba, maadhimisho ya Sinodi ya ...
Ujenzi wa umoja na ushirika; wongofu wa kichungaji na kimisionari, ili kutangaza Injili ya Kristo inayosimikwa katika huduma; Upendo wa Kanisa unabubujika kutoka katika Ekaristi. ...
Mababa wa Sinodi katika Waraka wao kwa watu wa Mungu mara baada ya Maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu wamejikita katika ushirika, Utamaduni wa ujenzi wa ukimya ili ...
Parokia ni mahali pa kuadhimisha Mafumbo ya Kanisa na kurithisha imani, ili kuziwezesha familia kutekeleza dhamana na wajibu wake barabara yaani wa kuwa ni: Kanisa dogo la ...
Kwa sasa Mababa wa Sinodi wanaendelea kuandika Ujumbe kwa Watu wa Mungu mara baada ya Maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu katika ngazi ya Kiulimwengu. Mababa wa Sinodi ...
Baba Mtakatifu Francisko Dominika tarehe 29 Oktoba 2023, Majira ya Saa 4:00 za Asubuhi kwa Saa za Ulaya, anatarajia kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa kuu la ...
Baba Mtakatifu anabainisha jinsi ambavyo katika kazi ya kimisionari Neno la Mungu huangaza na kubadili mioyo ya waamini. Kristo Mfufuka bado anabaki na kutembea na wafuasi wake ili ...
Baba Mtakatifu Francisko hivi karibuni amefanya mahojiano maalum na Shirika la Habari la Argentina Télam kuhusu: Mgogoro wa ubinadamu; Manabii wa uwongo, vita na madhara yake; ...
Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, Vatican bado ina amini katika amani na kwamba, siku zote Vatican iko tayari kusaidia katika mchakato wa upatanishi, ili ...
Waraka wa Kitume wa “Laudate Deum” yaani “Asifiwe Mungu Kwa Ajili ya Viumbe Vyake Vyote” unakita ujumbe wake juu ya athari za mabadiliko ya tabianchi duniani; Uharibifu na hatari ...
Mapokezi makubwa yaliyooneshwa na watu wa Mungu ni dalili za upendo mkuu anaomrudishia Mwenyezi Mungu na kwa watu wote wa Mungu, ili kukoleza imani, majadiliano ya kidini na ...
Maadhimisho ya Sinodi yanaendelea kujikita katika dhana ya waamini kukutana na hivyo kujenga utamaduni wa majadiliano ya kidini na kiekumene, ili kutembea katika umoja. Mababa wa ...
Baba Mtakatifu Francisko Jumatano tarehe 4 Oktoba 2023 jioni alipata fursa ya kutoa hotuba kwa Mababa wa Sinodi, akielezea historia ya Sinodi ya Maaskofu kwa Kanisa Katoliki, hija ...
Upendo wa Mungu unaganga na kuponya madhaifu ya binadamu na kwamba, huu ndio utume wa Kanisa linalopaswa kuwa ni chombo cha upendo huu wa Mungu. Hatua ya kwanza ya Maadhimisho ya ...
Mara baada ya Baba Mtakatifu Francisko kufungua rasmi Maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu kwa Ibada ya Misa Takatifu kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini ...
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake amegusia changamoto alizokabiliana nazo Kristo Yesu katika maisha na utume wake, akainua macho yake mbinguni na kumshukuru Baba yake ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 4 Oktoba anazindua rasmi Maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu yananogeshwa na kauli mbiu “Kwa Ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, ...
Makardinali watano wamemwandikia Waraka Papa kuelezea wasi wasi wao kuhusu: Ufunuo wa Kimungu, juu ya baraka kwa ndoa za watu wa jinsia moja; Kuhusu Sinodi kama mwelekeo wa ...
Kardinali Protase Rugambwa awataka watanzania wawe tayari kujenga na kudumisha utamaduni wa upendo na mshikamano na watu wengine hata ambao si watanzania kama sehemu ya mchakato wa ...
Ni katika asili ya watu wa Mungu, Roho Mtakatifu ametenda kazi ya kutangaza na kushuhudia Fumbo la Mateso, kifo na ufufuko kwa Kristo Yesu kwa wafu, Fumbo ambalo limewafikia watu ...
Sekretarieti kuu ya Sinodi za Maaskofu imechapisha orodha ya majina 363 ya wajumbe wa Sinodi ya ya XVI ya Maaskofu, kati yao kuna wanawake 54 wenye haki ya kupiga kura. Wajumbe ...
Mama Kanisa tarehe 9 Julai 2023 anaadhimisha Dominika ya Utume wa Bahari, fursa kwa Familia ya Mungu sehemu mbalimbali za dunia, kumshukuru Mungu kwa huduma na mchango mkubwa ...
Baba Mtakatifu pamoja na Rais wa Brazil katika mazungumzo yao wamejikita katika: Masuala jamii na yale ya kisiasa, kwa kukazia umuhimu wa kudumisha amani na upatanisho; kwa ...
Mazungumzo yamejikita katika: Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yakinogeshwa na kauli mbiu ni: “Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa ajili ikolojia fungamani”; ...
Mama Evaline Malisa Ntenga, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania, WAWATA, katika ujumbe wake kwa watu wa Mungu nchini Tanzania, anakazia umuhimu wa kusimama ...
Askofu mkuu Robert Francis Prevost katika mahojiano maalum na Vatican News anazungumzia kuhusu: Dhamana na wajibu wa Maaskofu kwanza kabisa ni kutangaza na kushuhudia uzuri na ...
Uwepo wa watu wanaoitikia wito wa Mungu ni dhihirisho wazi kuwa, Wito ni hakika ya uwepo wa Yesu kati ya watu wake ili kwa sadaka, huduma na majitoleo ya watumishi wake waaminifu ...
Kwaresima ni kipindi cha kuimarisha na kuboresha imani, matumaini na mapendo kwa: kufunga na kusali; kwa kufanya toba na malipizi ya dhambi; kwa kushiriki kikamilifu katika ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Burundi linasema, hija yake ya Kitume mjini Vatican na hatimaye, tarehe 17 Machi 2023 kukutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko imekuwa ni ya ...
Baraka ni sehemu ya Sakramenti ya Ndoa na ni tendo la Liturujia ya Kanisa. “Ndoa” ya watu wa jinsia moja ni kinyume cha mpango wa Mungu uliofunuliwa katika kazi ya uumbaji. Ndoa ...
Mababa wa Sinodi ya Kwanza ya Maaskofu Barani Afrika iliyoadhimishwa kunako mwaka 1994, walikazia umuhimu wa kutangaza na kushuhudia Injili ya familia na Familia Takatifu ya Yesu, ...
Safari ya kisinodi bila shaka itafungua ukurasa mpya katika miongo ijayo,kama ulivyofanya Mtaguso wa II wa Vatican.Haya ni maoni ya Hatem Bourial,Mwislamu kutoka Carthage,Tunisia, ...
Wajumbe wa Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Ukanda wa Afrika, Ijumaa na Jumamosi wakiwa wamekusanyika katika makundi 15 wamesali na kutafakari na hatimaye wakaibuka na ...
Kanisa Barani Afrika linahitaji wongofu wa dhati ili kuwa wazi katika majadiliano katika kujenga jamii pamoja yenye isharaza za haki,upatanisho na amani,alisema hayo Askofu wa ...
Wakristo Barani Afrika wajitahidi kupanua hema ya ushiriki wa watu wa Mungu katika kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu,kwa ari na moyo mkuu.Ni kutoka katika hotuba za ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake, amegusia umuhimu wa kumwilisha Injili ya upendo katika huduma, ukarimu kama sehemu ya vinasaba na utambulisho wa Wakristo tangu Kanisa ...
Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha neema, ni safari ya kupanda mlima Tabor pamoja na Yesu, ndio Kwaresima ya Kisinodi. Tunaalikwa kufunga siku hii ambapo kila mmoja ...
Kila mwaka ifikapo tarehe 22 Februari, Mama Kanisa anaadhimisha Sikukuu ya Ukulu wa Mtakatifu Petro, aliyemkiri Kristo Yesu kuwa ni Mwana wa Mungu aliye hai. Yesu mwenyewe ...
Papa amekazia kuhusu: Utume wa Wayesuit, Jubilei ya Miaka 1700 ya Kanuni ya Imani ya Nicea, Nadhiri ya Utii wa Wayesuit kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro, Wito na Utume wa Khalifa wa ...
Katika eneo ambalo utamaduni wa sinodi ni wa zamani,wajumbe wa hatua ya kibara ya sinodi wanakutana huko Bethania-Harissa kuanzia 12 hadi 18 Februari.Historia ya watu ...
Wawakilishi 200 kutoka Nchi 45 za Ulaya wamekubali rasimu ya hati ya mwisho iliyoandikwa kwa kufuata maelekezo yaliyoibuka katika makabiliano.Kuna baadhi ya vipaumbele vinavyo ...
Mkutano wa Siku sita wa Sinodi ya Bara la Australia na visiwa vyake uliofanyika huko Suva,Fiji ulihitimishwa 10 Februari huku Maaskofu wakieleza furaha yao ya Juma zima la ...
Maadhimisho ya Siku ya 31 ya Wagonjwa Duniani yananogeshwa na kauli mbiu “Mtunze”: Huruma kama zoezi la Sinodi ya Uponyaji.” Papa anakazia umuhimu wa kutenda kadiri ya mtindo wa ...
Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuanza kujiandaa kiroho katika maadhimisho ya Kumbukumbu ya Bikira Maria wa Lourdes sanjari na ...
Ushauri wa Papa,kutoka Sudan Kusini,kuelekeza upya wajibu wa Maaskofu kama wachungaji kati ya Watu wa Mungu,unafikia moyo wa Bara la Kale,katika mji mkuu wa Jamhuri ya ...
Baba Mtakatifu Francisko ameonesha moyo wa shukrani, Sura ya Kanisa linaloteseka kwa ajili ya watu wa Mungu, Msalaba wa Kristo katika maisha ya watu wa Mungu nchini DRC. Maaskofu ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake, amewakumbusha vijana kwamba, wamepewa zawadi ya uhai ili waitumie kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya DRC, kumbe, wanapaswa ...
Papa Francisko anasema: Lengo ni kutembea kwa pamoja na vijana katika umoja, kwa kusikiliza kabla ya kuzungumza, tayari kuchukua nafasi ambayo si lazima wawe ni walengwa wa matukio ...
Papa amewaonya waamini kuachana na vita na wasimame kidete kupinga vitendo vyote vinavyokwenda kinyume cha haki na badala yake, wajielekeze kutenda mema, kama kielelezo cha wongofu ...
Matokeo na changamoto zilizojitokeza ni maswali makuu ambayo Makatibu wakuu wa Mashirikisho ya Mabaraza ya Maaskofu yanayounda SECAM walijitahidi kuyajibu kwa ufupi. Watu wa Mungu ...
Waamini wawe tayari kujisadaka kwa ajili ya uinjilishaji unaopania kuleta upyaisho katika maisha ya watu na kama njia ya kutamadunisha Injili ili kuinjilisha tamaduni mintarafu ...
Katika hotuba yake, amegusia: Umuhimu wa maadhimisho ya Sinodi ya XVI ya Maaskofu inayosimikwa katika hija ya maisha ya kiroho, kwa kujenga utamaduni wa kusikilizana na kumsikiliza ...
Mama Kanisa anatuwekea mbele ya macho yetu ya imani Yohane Mbatizaji kama anavyosimuliwa na Mwinjili Yn 1: 29-34 anaye mtambulisha Kristo Yesu kuwa ni “Mwanakondoo wa Mungu ...
Balozi Georgios F. Poulides, Dekano wa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican, tarehe 9 Januari 2023 amewasilisha salam za rambirambi kwa kwa Baba ...
SECAM katika salam zake za rambirambi kutokana na kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia tarehe 31 Desemba 2022 na anatarajiwa kuzikwa tarehe 5 Januari ...
Jumuiya ya Kiekumene ya Taizè kutoka sehemu mbalimbali Barani Ulaya, kuanzia tarehe 28 Desemba 2022 hadi tarehe 1 Januari 2023 wanakusanyika mjini Rockstock, nchini Ujerumani, ili ...
Siku ya Walemavu Duniani: Ni hamasa ya kushuhudia upendo na huruma ya Mungu; kuendelea kuwa na imani kwa Mungu, kiini halisi cha Mamlaka fundishi ya Kanisa kuhusu udhaifu wa ...
Mafungamano ya urafiki wa kijamii ni muhimu sana kwani yanavuka mipaka ya nchi, tamaduni, dini, imani na mafao binafsi, kwa kujenga na kuturubisha uwajibikaji sanjari na utunzaji ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Italia: Kongamano la 12 la Mafundisho Jamii ya Kanisa kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Ni katika "Kujenga uaminifu. Shauku ya kukutana." Licha ya ...
Kipindi cha Majilio ni maandalizi ya maadhimisho ya Sherehe ya Noeli, kuzaliwa kwa Yesu, Mkombozi wa Ulimwengu. Mwaliko wa Baba Mtakatifu kwa waamini na watu wote wenye mapenzi ...
Papa Francisko na Patriaki Mar Awa wa III wa Kanisa la Ashuru la Mashariki: .Jubilei ya Miaka 1700 ya Mtaguso wa NICEA, Pasaka ya Bwana Kwa Wakristo wote 2025, Mchakato wa ...
Maaskofu wanawajibika kukuza na kuhifadhi umoja wa imani na nidhamu iliyo moja kwa Kanisa lote; tena kuwafundisha waamini wawe na upendo kwa Kanisa hasa kwa viungo vilivyo maskini, ...
“Ad Limina” ni nafasi ya kutembelea na kusali kwenye Makaburi ya Watakatifu Petro na Paulo; Kukutana na kuzungumza na Papa pamoja na kutoa taarifa kwa Baraza la Kipapa la Maaskofu. ...
Papa amekazia: Umuhimu wa Taasisi hii ya Uratibu, Mabadiliko katika mchakato wa mawasiliano ya jamii; haja yawatu kukutana, kusikilizana na Neno na hatimaye, ni mchakato wa ...
Kongamano la Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Asia, FABC, huko Bangkok, kuanzia tarehe 12 Oktoba hadi 30 Oktoba 2022 linanogeshwa na kauli mbiu “Kutembea pamoja ...
Mkutano Mkuu wa Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume ni kipindi maalum cha: Sala, tafakari na mang’amuzi ya kina mintarafu amana na utajiri wa mashirika na wanashirika wenyewe. Ni ...
Papa Francisko amekazia umuhimu wa kuwa waaminifu katika karama ya Shirika; kwa kuendelea kumwilisha kauli mbiu “Mshikamano: Mnaitwa katika nia moja na shauri moja” katika maisha ...
Ni kiongozi aliyethubutu kuitisha Mtaguo Mkuu wa Pili wa Vatican ili kulipyaisha Kanisa la Kristo na kuendelea kusoma alama za nyakati. Mama Kanisa anamkumbuka kila mwaka ifikapo ...
Haya ni matunda ya uzoefu na mang’amuzi ya maisha ya kiroho, yanayowawezesha kutembea bega kwa bega na vijana ili; kuwasindikiza, kuwasikiliza na kuwazamisha katika maisha ya sala. ...
Wataalam wa maadhimisho ya Awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu tangu tarehe 21 Septemba - 2 Oktoba 2022 walikuwa “wamejichimbia” mjini Frascati, ili kuandaa hati ya kutendea kazi ...
Mkutano mkuu wa 37 wa Shirika la “Wamisionari wa Oblate wa Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili” kauli mbiu: “Mahujaji wa Matumaini katika Ushirika.” Baba Mtakatifu katika hotuba ...
Ujumbe wa Siku ya 55 ya Upashanaji Habari Ulimwenguni kwa Mwaka 2023 sanjari na Sherehe ya Bwana Kupaa Mbinguni unanogeshwa kwa kauli mbiu: “Zungumzeni Ukweli Katika Upendo”: ...
Mkutano mku unanogeshwa na kauli mbiu: Usikivu wa unyenyekevu na Sinodi. Baba Mtakatifu amekazia ujenzi wa usikivu unaosimikwa katika ukimya wa ndani, kielelezo cha sala makini, ...
Maadhimisho ya Kongamano la 27 la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Italia imekuwa ni nafasi ya kutafakari: Umuhimu wa Ekaristi Takatifu katika maisha na utume wa Kanisa. Umuhimu wa ...
Askofu mkuu Nkwande aliwasisitiza Mapadre na Makatekista kujikita zaidi kufundisha na kushuhudia kwa kina imani katoliki. Hivyo Askofu mkuu ameitaka mihimili ya uinjilishaji ...
Ibada ya kumsimika imeongozwa na Askofu mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora, akisaidiana na Askofu Ludovick J. Minde wa Jimbo Katoliki la Moshi, ambaye kabla ya uteuzi huu, ...
Baba Mtakatifu Francisko amegusia kuhusu mageuzi makubwa yaliyofanywa na Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican kuhusu Liturujia ya Kanisa; Ufahamu wa imani ya watu wa Mungu, Liturujia ni ...
Askofu mteule Christopher Ndizeye Nkoronko wa Kahama maisha na utume wake unaongozwa na kauli mbiu ya Kiaskofu: Ukweli na haki katika upendo anasimikwa tarehe 4 Septemba 2022. ...
Makardinali wameridhika na jinsi ambazo mkutano huu umeendeshwa, kwa sehemu kubwa ya Makardinali kushirikisha mawazo yao, baada ya Baba Mtakatifu Francisko kutoa mwaliko. Tema kuu ...
Katika maisha na utume wake, aliihudumia Injili ya Kristo na Kanisa lake kwa unyenyekevu na uadilifu mkuu. Mama Kanisa anapenda kutoa shukrani kwa Mtumishi wake mwaminifu Hayati ...
Ujumbe wa SECAM: Umiliki wa SECAM, Ukosefu wa usalama; Kanisa na hali ya wakimbizi, Kanisa katika Sinodi, Vyombo vya mawasiliano ya jamii na hatimaye ni shukrani kwa wadau ...