Charis na ajenda ambayo inandaa kumbukumbu kuu ya ubinadamu
Juma la Pasaka 2023 linaanza muongo ambao utafikia kilele chake mnamo 2033 kwa miaka elfu mbili ya kifo na ufufuko wa Yesu. Kwa kuzingatia uteuzi huu wa kihistoria ambao sio tu kwa imani ya Kikristo, lakini pia Huduma ya Kimataifa ya Upyaishaji wa Karismatiki Katoliki (Charis)imezindua video ambayo inakusanya maneno ya Baba Mtakatifu Francisko na tafakari ya makadinali na viongozi wa harakati na jumuiya.
12 April 2023, 11:45